Skip to content

Wewe Hapo

Lony Bway feat. Marioo
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Lex where you at (lexvanny) Yes roh yangu nii Wewe hapo Waubavunii Wewe hapo Uunae niwezea mii eeh Wewe hapo Unae nipatiaa Wewe hapo aah Naonaga wenye shepuu Moja moja wakidondosha Ila siwatamanii Mie we unantoshaaa Wanakujaga weny vibundaa Aah wanaringisha Ila siwatamanii Aah we unantishaa Unapanda beibee Wanashakukaa bei Oh nanana Waniwezaaa beiii Unapanda beii Wanashakaa beiii Oh nanana Unaniweza beii Si unajua kipenzi Yote hapo Bila we siweezii iii Sina nyayoo Kutembea siwezi aah Hapo hapo Ndo umeniwezea Ndo umenikolea Ndomana nataka ujue mi Roho yangu Wewe hapo Wa ubavuniii Wewe hapo Unae niwezea mimi ii Wewe hapo Unanijuliaa aaah Wewe hapo Aaaaahh eeeh Aah stangi tangii Siendii popote Mi chambi chambi Sin aila usiondoke Naa stambi tambii Samaki yakee maji sio topee Mi nshaweka kambili Kama unakufa wewe, tufe wotee Si unajua mupenzi Yotee hayo Bila we siwezii ii Sina nyayoo Kutembea siwezi aah Hapo hapo Ndo umeniwezea Ndo umenikolea Ndomana nataka ujue mi Mabusu kila muda Upendo umezama ndani kwangu sijielewi Upo kila muda wee Sio yuda we Usalitii mi sio vitu vyangu ooh babe we Ndomana nataka ujue mi Roho yangu Wewe hapo Wa ubavunii Wewe hapo Unae niwezea mimi ii Wewe hapo Unaenijulia Wewe hapo Weeeee weeee weeeee