Skip to content

Ushamba Umekutoka

Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Elloo_Ulijidai wewe m-babe sana Leo umepigwa na kijana mdogo aibu imekupata Iko wapi Sasa ulichokuwa ukijidai nacho, leo ungepambana na mimi kaka kilema ungekipata Utampiga nani wee kwanza upini bado haujakutoka Wewe uliona wapi jogoo la shamba likawika mjini ร—2 Ooh ngebe na majivuna yakoyamekwisha Sasa heshima iko wapi Ulipotoka shamba kuingia mjini mimi Nimekuona huwezi kunitisha Kujitia mikogo na kudharau wenzio leo umefundishwa adabu na heshima ร—2 (amekutoa ushamba)...