Skip to content

Feel The Love

Kahuti & Kinoti
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Nilikupenda toka mwanzo Kila siku mi hurudia Kukuambia, roho ilikwama Hapo kwako Future tushaweka mipango Mapenzi ikishift gear Mi najua tu ni wewe bado Ni wewe bado Kupenda na kupendawa Tofauti Naomba unielewe Tu sawa Nikisema nataka mapenzi Simaanishi nataka kuzidi I wanna feel the love (I wanna feel the love) Nikisema nataka mapenzi Simaanishi nataka kuzidi I wanna feel the love (I wanna feel the love) Nikisema nataka mapenzi Simaanishi nataka kuzidi I wanna feel the love (I wanna feel the love) Kiss me and touch me and hug me Ooh my language do you, did you notice Nimekumiss nina zidiwa sana (Nina zidiwa sana) I've been working so much on you lately To deliver kwano na huoni Ukinidiss nitalemewa sana (Sana sana sana) Nikisema nataka mapenzi Simaanishi nataka kuzidi I wanna feel the love (I wanna feel the love) Nikisema nataka mapenzi Simaanishi nataka kuzidi I wanna feel the love (I wanna feel the love) Nikisema nataka mapenzi Simaanishi nataka kuzidi I wanna feel the love (I wanna feel the love)