Skip to content

Nichunguze Moyo

Christopher Mwahangila
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Ni nani anaweza kutibu maumivu ya moyo Moyo unaumaaa Ni nani anaweza kutibu maumivu ya moyo Moyo unaumaaa Ni nani anaweza kuona maumivu ya moyo Moyo unaumaaa Dakitari ameshindwa kutibu maumivu ya moyo Dakitari ameshindwa kuona maumivu ya moyo Dakitari ameshindwa kutibu maumivu ya moyoo Moyo unaumaaa We Mungu uonaye sirini We Mungu we unaeona ndani ya moyo We Mungu uonaye sirini We Mungu we unaeona ndani ya moyo Chunguza moyoo,moyo wangu Chunguza moyoo,moyo wangu Moyoooo Moyoo Moyo Moyoooo Chunguza moyo Uchunguze moyo wangu(Mungu wangu wee) Moyo wangu(Mungu wangu) Uchunguze moyo wangu bwana(wewe Mungu ni dakitari wa kweli) Uchunguze moyo wangu(Mungu wangu we) Moyo wangu(Mungu wangu) Uchunguze moyo wangu bwana(dakitari ameshidwa kutibu tatizo langu) Uchunguze moyo wangu(ninakuomba baba) Moyo wangu(ninakuomba Mungu) Uchunguze moyo wangu bwana(moyo wangu unaimani na wewe) Uchunguze moyo wangu(mungu wangu) Moyo wangu(Mungu wangu) Uchunguze moyo wangu bwana uniponye Mama umesumbuka sana na tatizo lako Ujapata jibu,moyo unauma Baba umesumbuka sana na tatizo lako Ujapata jibu,moyo unauma Ndugu umesumbuka sana na tatizo lako Ujapata jibu,moyo unauma Pengine ni ndoa ndugu inakusumbua Ujapata jibu,moyo unauma Pengine ni mume mama anakusumbua Ujapata jibu,moyo unauma Pengine ni mke baba anakusumbua Ujapata jibu moyo unauma Pengine ni matatizo kazini unapigwa vita Ujapata jibu,moyo unauma Mwambie Mungu anaeona sirini Mwambie Mungu anaeona ndani ya moyo Mwambie Mungu anaeona siriini Chunguza moyo Chunguza moyo wangu bwana Uchunguze moyo wangu(moyo) Moyo wangu(moyoo) Uchunguze moyo wangu bwana(wewe Mungu ni dakitari wa kweli) Uchunguze moyo wangu(Mungu wangu we) Moyo wangu(Mungu wangu) Uchunguze moyo wangu bwana(dakitari ameshidwa kutibu tatizo langu) Uchunguze moyo wangu(ninakuomba baba) Moyo wangu(ninakuomba Mungu) Uchunguze moyo wangu bwana(moyo wangu unaimani na wewe) Uchunguze moyo wangu(mungu wangu) Moyo wangu(Mungu wangu) Uchunguze moyo wangu bwana uniponye Nina sababu ya kuja kwako mungu Niina sababu ya kusema kwako Nina sababu ya kuja kwako mungu Niina sababu ya kusema kwako Mwanadamu anashindwa Lakini wewe haushindwi baba Mwanadamu anachoka lakini wewe hauchoki Mwanadamu analala lakini wewe haulali baba Chunguza moyo Chunguza moyo wangu Ninasababu ya kuja kwako Mungu Nina sababu ya kusema kwako Mwanadamu anashindwa lakini Wewe haushindwi baba Mwanadamu anachoka lakini wewe hauchoki Mwanadamu analala lakini wewe haulali baba Chunguza moyo Chunguza moyo wangu bwana Uchunguze moyo wangu(moyo) Moyo wangu(moyoo) Uchunguze moyo wangu bwana(wewe Mungu ni dakitari wa kweli) Uchunguze moyo wangu(Mungu wangu we) Moyo wangu(Mungu wangu) Uchunguze moyo wangu bwana(dakitari ameshidwa kutibu tatizo langu) Uchunguze moyo wangu(ninakuomba baba) Moyo wangu(ninakuomba Mungu) Uchunguze moyo wangu bwana(moyo wangu unaimani na wewe) Uchunguze moyo wangu(mungu wangu) Moyo wangu(Mungu wangu) Uchunguze moyo wangu bwana uniponye