Jibambe
Popularity ยท Low
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
c unajua izi n zile tym za kujibamba tu yaani
hakuna mastress kibao na ni wikend pia
OK
nawishi the bye bye hauskii Leo n fridei
mdosi tuonane... Friday
ATM iko nakumbuka pin number
waiter weka drink c ulamba
na madems round table wanaongeza ladha Leo mi na wayre tunarule amin Dada
Makanji ziko niamini Dada kesho tuko cruzi tunakamless