Hodi Hodi
Migori Choir
Popularity ยท Low
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Hodi hodi nyumbani mwako Bwana, ninabisha nifungulie, Nimekuja nyumbani mwako leo, Nimekuja kukuabudu, Kwa unyenyekevu naijongea โ meza yako yenye baraka, Nakuja na sala zangu ee Bwana โ nakuomba zisikilize,
Ninakutolea sadaka yangu Mungu Baba uipokee
1.
Nyua za Bwana zapendeza zinapendeza macho kama nini, (natamani kuingia hekaluni kamwabudu)
2.
Nimeingia Hekaluni nimeingia Hekaluni mwako (
Nimekuja kuabudu kusujudu, nyumbani mwako)
3.
Uipokee Mungu wangu wangu unitakase mimi mwenye dhambi.(Nimekuja mbele zako Mungu Baba unipokee)