Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Yamoto Band - Nitakupwelepweta [Official Video]
Mkubwa na Wanawe
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Aah, Yamoto band, ah-ah Yamoto
Aah, Yamoto band, ah-ah Yamoto
Ah-ah, unajifanya bingwa wakupenda (dada, eh)
Kumbe bingwa wakutenda kuliko kupenda (dada, eh)
Tena, unasifa ya kuogopwa kama defender (dada, eh)
Umeuwa wengi ila kwangu umedunda
Ah, koma eh, usitake nizikwe na kilo mbili kwenye mfuko
Mama, eh, usitake familia ilie kwa sababu yako
Dada, eh, ananitegemea mama eh, ah-ah, eh
Nikifa atalia sana, eh, ah-ah
Katika familia na mimi ni baba japo baba yupo
Nikija kufa ufa nani ataziba? Hebu kwenda zako
Ananitegemea mama eh, ah-ah, eh
Nikifa atalia sana eh ah-ah, eh
We kuku wakizungu, mchinjaji anatabu
Kuku wakizungu, mchinjaji anatabu
Hebu niache eh, hebu niache
Unapita na dumu la petroli hebu niache
Hebu niache eh, hebu niache
Unapita na dumu la petroli hebu niache
Unarambo? Mi n'na muwa
Ni ujinga ujinga tu, eh mi hujaniua
Unarambo? Mi n'na muwa
Ni ujinga ujinga tu, eh mi hujaniua
Unakichaa mi nakuitaga we mwenda wazimu
Nimepata habari mwili wako umeujaza sumu
Unang'ang'ana unataka mi kunipa utamu
Umekosa singeli ngoma yakucheza huna nenda kalicheze
Segere, segere mama, segere, segere, oh
Segeree, segere mama ('mtoa mwali na nenda kalicheze)
Segere, segere mama, segere, segere oh (mama, ma-mama, mama, ma-mama)
Segeree, segere mama (mama)
Eti ametuma shoga zake waje kunambia
Roho inamuuma kidudu penzi kinamsumbua
Siri imevuma limenyu la wengi wanalipakua
Hana huruma kalitoa wapi, aje kuniua
Nilikuwazia sana nikatoa, nikagawanya
Nikajua unadanganya, we mbaya, weeh
Nusu dengu nusu dona wengi wao unawachanganya
Mama Jane wewe kitana, huna haya wee
Mimi si size yako, nitakupwelepweta bure
Tafuta type yako, wa Ilala mimi wa Kilungule
Mimi si size yako, nitakupwelepweta bure
Tafuta type yako, wa Ilala mimi wa Kilungule
Unataka kunipeperusha we kimbunga huniwezi ng'oo
Kina chako cha maji marefu kuogelea sikiwezi ng'oo
Unashinda kuwinda vyenye kung'aa vya masinzi huvitaki ng'oo
Unang'ang'ana kama ruba kwenye mwili wangu we nenda zako, iye
Na ushindwe shindwe, uniache mi mwana wa mwenzio
Kwetu ndo jembe jembe, ukivunja mpini ni kilio
Na ushindwe shindwe, uniache mi mwana wa mwenzio
Kwetu ndo jembe jembe, ukivunja mpini ni kilio
Unakichaa mi' nakuitaga we mwendawazimu
Nimepata habari mwili wako umeujaza sumu
Unang'ang'ana, unataka mi kunipa utamu
Umekosa singeli ngoma ya kucheza huna nenda kalicheze
Segere, segere mama, segere, segere oh
Segeree, segere mama ('mtoa mwali na nenda kalicheze)
Segere, segere mama, segere, segere oh
Segeree, segere mama
Mimi si size yako, nitakupwelepweta bure
Tafuta type yako, wa Ilala mimi wa Kilungule
Mimi si size yako, nitakupwelepweta bure
Tafuta type yako, wa Ilala mimi wa Kilungule
Anachuma cha moto huyo
Anaunguza watoto huyo
Apewe mkong'oto huyo
Ili ifike mwisho huyo tabia yake
Tabia yake
Tabia yake
ย