Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Ni Neema FT. Boaz Danken
Joel Lwaga
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Ni neema, ni neema, ni neema imeniweka hapa
Ni neema, ni neema, ni neema imeniweka hapa
Sikustahili, sikustahili, sikustahili, sikustahili
Ni neema, ni neema, ni neema imeniweka hapa
Mm, mimi jinsi nilivyo kila nilichonacho ni neema, imenipa hayo
Uhai uzima, wokovu kibali, vyote ni neema, imenipa hivi
Kuna mtu alikufa msalabani kwa ajili yangu
Amelipa madeni yote, niliyodaiwa
Ni neema, ni neema, ni neema yake Yesu
Sikustahili, sikustahili, sikustahili, sikustahili
Ni neema, ni neema, ni neema yake Yesu
Sikustahili (sikustahili), sikustahili (sikustahili)
Sikustahili (sikustahili), sikustahili (sikustahili)
Kweli ni neema (ni neema), ni neema (ni neema)
Oh, ni neema (ni neema), ni neema (imeniweka hapa)
Sikustahili (sikustahili), sikustahili (sikustahili)
Sikustahili (sikustahili), sikustahili (sikustahili)
Oh (ni neema), oh, ni neema (ni neema)
Oh, ni neema (ni neema), yake Yesu (imeniweka hapa)
Sikustahili (sikustahili), la-la, la-la, la-la-la-la-le (sikustahili)
Nina, nina, ni Yesu jamani (sikustahili), usiniangalie mimi (sikustahili)
Ameniweka hapa (ni neema), oh, ni neema (ni neema)
Oh, ni neema (ni neema), mtukuzeni Yesu (imeniweka hapa)
Haleluya, ahsante Yesu (tunakushukuru Yesu) ahsante Yesu
Ahsante Yesu (ninakutukuza Mungu), ahsante Yesu (kwa neema yako)
Kwa neema yako ulisimama kwa ajili yangu, uilinitetea Baba (milele)
Ahsante Yesu (yako yesu)
Sikustahili, sikustahili, sikustahili, sikustahili
Ni neema, ni neema, ni neema yako Yesu
Sikustahili, sikustahili, sikustahili, sikustahili
Ni neema, ni neema, ni neema yako Yesu
ย