Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Sugar
Jay Melody, Marioo
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Sweet like a kuku, tamu sana
Sweet like a supu, am going to die
Kwenye dimbwi sijiwezi nimezama
Mi corazon my baby banana
Penzi hulifichi kama ni sindano itachomaa
Mi siambiliki hata wakaniroge Kigomaa
Ukiugusa mwili wangu nashituka moyo paaa
Mpenzi wangu nishike nisije nikapaa
Kama mvua na mawingu kama mwezi na anga
Sina jambo kwa jinsi umenikamata
Tena usinipege kiduchu
(Sugar Sugar Sugar)
My life is nothing without you
(Sugar Sugar Sugar)
Tena usinipege kiduchu
(Sugar Sugar Sugar)
My life is nothing without you
(Sugar Sugar Sugar)
Nachagua mwenyewe nitakula ndo nile ama nile ndo ntakula
Najisevia manyama manyama Utamu Utamu
Ah naona raha mie unavyonipeleka puta
Mako tinda mako stamina yaani show show
Mmmh naona raha mie unavyoishusha kwenye tuta mama
Mako tinda mako stamina yaani soo soo
Ah umeniweza niuwe kanizike Aaah kanizike umeniweza
Ukiugusa mwili wangu nashituka moyo paaa aaaah
Baby wangu nishike nisije nikapaaa
Tena usinipege kiduchu
(Sugar Sugar Sugar)
Ah my life is nothing without you
(Sugar sugar sugar)
Tena usinipege kiduchu
(Sugar Sugar Sugar)
Ah my life is nothing without you
(Sugar sugar sugar)
ย