Kaa Nami Tena
Martha Mwaipaja
Popularity ยท Low
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Kaa nami ee bwana wewe ndiye ngome
Ngome yangu imara chini ya mbawa zako
nitajificha nisione uharibifu eeh bwana
nakuhitaji kwenye maisha yangu
nahitaji neno lako niishi
mimi bila wewe nimepote eeh bwana
nahitaji kuimarisha imani yangu