Skip to content

Sesilya

Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

tarehe makuni tatu na moja ya mwaka juzi umetuaca ukaji endeya bila kusema wuko wa, wuko wa, wuko wapi mwenyezi mungo atusayidiye atupative nguvu tuendeleye mwaka unapita, hatuzoweleye tunaliya, sesili, sesiliya mimi na ikala cini mikono wazi mimi najaribu kupokeya hali iy! sesiliya dada unaliliwa... hoo! watoto yako umetuaminisha kweli tutajaribu wote pamoja kwa kila hali tusayidiyane tuwale, tuwale, tuwaleye mimi na ikala cini mikono wazi mimi najaribu kupokeya hali iy! sesiliya dada unaliliwa... hoo! unaliliwa ye!