Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Roho
Christina Shusho
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Ee Roho kaa ndani yangu
Nikiwa nawe niko salama
Ee Roho kaa ndani yangu
Pamoja nawe nitashinda
Ee Roho kaa ndani yangu
Nikiwa nawe niko salama
Ee Roho kaa ndani
Pamoja nawe nitashindaร2
Ee Roho kaa ndani yangu
Nikiwa nawe niko salama
Ee Roho kaa ndani
Pamoja nawe nina nguvu
Ee Roho kaa ndani yangu
Nikiwa nawe niko salama
Ee Roho kaa ndani
Pamoja nawe nina nguvu ร2
(Nina nguvu)nina nguvu ร3
Pamoja nawe nina nguvuu
(Niko salama) niko salamaร3
Pamoja nawe niko salamaa
(Nitashinda) nitashindaร3
Pamoja nawe nitashindaa
Kama ardhi isiyo na maji inapasuka ndivyo Roho nakuhitaji fanya makao
kwangu
Moyo wangu wakutamani
nafsi yangu yaona kiu
Ee Roho kaa ndani yangu
bila wewe siko salama
Ee Roho kaa ndani yangu
Nikiwa nawe niko salama
Ee Roho kaa ndani
Pamoja nawe nitashindaร2
Ee Roho kaa ndani yangu
Nikiwa nawe niko salama
Ee Roho kaa ndani
pamoja nawe nina nguvu ร2
(Nina nguvu)nina nguvu ร3
Pamoja nawe nina nguvuu
(Niko salama) niko salamaร3
Pamoja nawe niko salamaa
(Nitashinda) nitashindaร3
Pamoja nawe nitashindaa
ย