Ni yeye
Culture Musical Club de Zanzibar
Popularity ยท Low
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Iyee (Iyee)
Iyee ni mpena ya muhibbu (Mihibbu)
Muhibbu mwaminifu
Ni iyee ya mpena nzaya
Wa umbwana unadifu
Ni iyee ya mpena nzaya
Wa umbwana unadifu
Sijua kikoishi naye
Kumu vidde na ho
Kale nizazi mpenzi mu
Haja aliwa si haba
Haja tuabia nadifu
Nabingwa wenye mahaba
Ana (Ana)
Ana bashasha na huba
Uzo wake (Uzo wake)
Uzo wake mkunjufu
Raha zake kwa kutwiba
Sijua ona upungufu
Raha zake kwa kutwiba
Sijua ona upungufu
Kaja aliwa si haba
Ndasema kweli sisi mu
Kale nizazi mpenzi mu
Haja aliwa si haba
Haja tuabia nadifu
Nabingwa wenye mahaba
Miyee (Miyee)
Miyee mwenye nidhamu
Kwangu (Kwangu)
Kwangu si mbaba ifu
Mpolena mkarimu
Mkai dhara waswara fu
Mpolena mkarimu
Mkai dhara waswara fu
Viti kwake ni siku
Naye kwangu si bai
Kale nizazi mpenzi mu
Haja aliwa si haba
Haja tuabia nadifu
Nabingwa wenye mahaba
Haja tuabia nadifu
Nabingwa wenye mahaba