Skip to content

Unamaliza Chapo Ngapi

Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Unamaliza chapo ngapi Ngapiiiii yeah Unamaliza chapo ngapi Chapo unakula ngapi Chapo unafyeka ngapi Manzi yako mali safi Clean girl Nikohandas na maji Manzi yako mshikaji Ooooh yeah Anakula ka fuckin Ooooh yeah Chafua hio meza na chapati Amota hizo tano ati ni barbie Huyu ni odi sisi hatumtaki Juzi nilienda form na chapati Boy wake akaniuliza mimi ni nani Who are you Nikumuuliza nakula chapati Unamaliza chapo ngapi Chapo unakula ngapi Unamaliza chapo ngapi Chapo utakula ngapi Chapo unafyeka ngapi Alisema ni wake Huko twitter si wake Ilimu affect Alichezwa oooh yeah Akalewa ju ya pressure Hey ot hii ni pressure Enda mechi na otamendi Ingia jaba ndio umedi Hakuna kuroria hakuna kumedi Usikulane kuna ukedi Kula chapati haina ukedi Nyoa nywele usiweke dredi Supu ya chapo itaingia kwa dredi Dredi itaingia kwa supu ya chapo Niko na ma nguai kama el chapo Ama dooh kama el chapo Utamaliza chapo ngapi Unamaliza chapo ngapi Utakula chapo ngapi Chapo utakula ni ngapi Unamaliza chapo ngapi Chapo utakula ngapi chapo unafyeka ngapi Chapo chapo chapo