Mtaalamu
Lulu Diva
Popularity ยท Low
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Sexy Divaa Divanaa
LG
Yani Mguu Huu Ni wako mtaalamu
Siachiki kirahisi Leo Inamwagika Damu
Huu mguu Huu Ni wako Mtaalamu
Yani kamkera kiti Leo Inamwagika Damu
Lgggggggggggg
Cheketu Cheketu Mahepee Cheketu cheketu
Msogezee Mlete Kwenye Chupa Umueke
Na Majina yake yote csisumbue Chochote
Msogeze Mlete Kwenye Chupa Umueke Na Majina yake Yote csisumbue chochote
Yani Mguu Huu Ni wako mtaalamu
Siachiki kirahisi Leo Inamwagika Damu
Huu mguu Huu Ni wako Mtaalamu
Yani kamkera kiti Leo Inamwagika Damu
Cheketu Cheketu Mahepee cheketu cheketu
kumbe clikua Hajui Upande Wangu Wa pili
Sio Mtungi Tuu Jogoo Wake Ntampa Ngiri
kumbe clikua Hajui Upande Wangu Wa pili
Kivumbi Tuu Ikibidi crukwe ckili
Cheketu Cheketu Mahepee Cheketu cheketu