Skip to content

Badman

Tunda Man & Harmonize
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Cough (Mafia) Mi sio Mwanaume wa Panga Wala sio Mwanaume wa Shoka Ila na roho mbaya mpaka wachawi wanaogopa Kwangu mke bora anapatikana Kimboka Nishawahi fanya Balaa mpaka Shetani anaogopa Nishaua sana Panya bila kutumia Sumu Nishatumiaga beseni kubebea majukumu Mwenzenu kumpiga boss kwangu sio kazi ngumu Mtoto wa miaka miwili namvutisha (Ndumu) Yaani naogopwa kama kelele za mwizi Ukipanga kuniroga ujue unaroga Chizi Kwenye bwawa la Mamba mi napiga mbizi Na nikifa siachi peko naacha fizi (Oyaa Mi Mtu Mbad) Wanangu mi mtu Mbaya (Oyaa Mi Mtu Mbad) Wanangu mi mtu Mbaya Cough Hata ukienda kwa muganga Kutambika jina langu Atakujibu nishazikwa We soma matanga Kisha niibuke na wanangu Tunakula kitakachopikwa Njia nilizopita hazinaga mfano Mwenzako nimeshapita hadi tundu la sindano Lengo kutimiza ndoto na sio mashindano Ndo maana nawasha moto na sina mfano Sina tatizo na waliopanga kunikomoa Nawasalimu mliosema sitoboa Mtaani ngoma zina (Hit) mpaka zinaboa Tena siimbi sana na smoke na kukohoa (Cough) Mi kioo nitazame ujione Ukiweza nachofanya hebu fanya tuone Aidha ufe au upone sina dhihaka hata tone Na ukijifanya unanijua mi sitaki unione Sifa za Tembo siku zote huwaga mpole Ingawa ana siri nzito za Aristotee Lokolee Yaani ukimuudhi sana atakupa kidole Hiki cha kati upoo kwa mpoyole (Oyaa Mi Mtu Mbad) Yaan wahuni nishaoza nishachanganyikiwa Wanangu mi mtu Mbaya Ukijitusu kunichokoza utachangamkiwa (Oyaa Mi Mtu Mbad) Eei Wanangu mi mtu Mbaya Eei Cough (JESHIII) Mwenzeni kukuwa kafara situpi nakula mpaka vibudu (Oyaa Mi Mtu Mbad) Simuogopi mwanadamu mwenzangu Mungu ndo nasujudu (Cough) Wanangu mi mtu Mbaya Demu unaemuona nyota Ukilala unamuota Wahuni tushapiga Uwa galagaza Siku umemuokota akakuona unasota Unampiga na picha ndo unamsambaza (Fuck) (Konde Music World Wide) Tunda Man na Bakhresa Eeeh (The Mix Killer) (Oyaa Mi Mtu Mbad)