Safari
Nikki wa Pili/Joh Makini/G Nako/Nahreel/Aika/Jux/Vanessa Mdee
Popularity ยท Low
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Where's my money yo?
Where's my honey Jo?
Bila wewe ni pressure na cash anawe
Ah, shita jane, safari ya mapenzi kitane
Aziza anita ane, toka na ani anitukane
Etu sina pose sina mane, niweke pose au nikuchane?
Nikupe kiki ujulikane, hakuna kiki just funny
Sina mshahara, ila shout out, muziki biashara
Wanunitaka leo kina Sara, sio me, sio Jo, sio G, what a what a!
Watoto wanapenda asali, watoto hawapendi ukali
Wapendi safari, maisha kufika ni mbali na tena kwa msoto mkali
I love you oh bani oh bani
Na uku I love your money, eh yeah
I love you oh bani oh bani money
Na uku I love my money
Man me na we usijani, safari it's not funny
Jamani wataku ni crown me, usijali haki ya nani
Dema alidhani mi ni Jigga, nikamwacha akidhani nikapiga
Hakuna gold wacha digga, utachezea wazungu wa nigga
Mashopping kutwa kwa maduka, saluni mawiki kusuka
Ma disco ma joker kuruka, na jina nimwandike kwa chupa
Kwa miguu ata nikamaliza moka, mi bado sikuwa Kanye
Kumbe ka sister dukitambo kalikuwa Kardashian
Hamna kitu kichwani dash yani
Watoto wanapenda asali, watoto hawapendi ukali
Wapendi safari, maisha kufika ni mbali na tena kwa msoto mkali
Where's my money yo?
Where's my honey Jo?
Bila wewe ni pressure na cash anawe
Where's my money yo?
Where's my honey Jo?
Bila wewe ni pressure na cash anawe
I love you oh bani oh bani
Na uku I love your money
I love you oh bani oh bani money
Na uku I love my money
Ah, utanipiga decking nikikudekeza
Maisha safari ndo kuwekeza, mara nataka iPhone mmmh
Nikakanunulia Apple, kakatafuna kisha ngakatafuna
Kakataka out nikakatoa nje, kakapiga upepo nikakambia exo
Mapenzi mama ntakupa pepo, mambo za nini nini eeh karibu depo
Mi ni zero juu yako simama pembeni kushoto tukamilishe kumi
Watoto wanapenda asali, watoto hawapendi ukali
Wapendi safari, maisha kufika ni mbali
Na tena kwa msoto mkali, eeh, woo!
Where's my money yo?
Where's my honey Jo?
Bila wewe ni pressure na cash anawe
Where's my money yo?
Where's my honey Jo?
Bila wewe ni pressure na cash anawe
I love you oh bani oh bani
Na uku I love your money
I love you oh bani oh bani money
Na uku I love my money