Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
纳塔
HOYO-MiX
Popularity · Low
+
🇰🇪 Swahili · Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Shambulia! Beba Silaha
Pigana mpaka mwishowe
Kwa nchi yetu tutaunguza damu yoyote
Rudi kwa pambaja ya dunia
Hadithi yaendelea (kama moto)
Heshima warithi vizazi (waka daima)
Ushujaa waangaza mbingu na ardhi
Mara tena ashinda Natlan
Milele tuwangoje, na tutawaimbia
(Rudini) ndugu, (rudini) mashujaa
Mara ya tena mwangani
Ati kweli mwahofuni kifo? (Hapana)
Ushujaa wenu ni imara (bila shaka)
(Kumbukeni majina ya mashujaa)
(Andameni uwanjani)
Kwa jamaa, nchi na taifa (zuri, safi, sawa)
Kwa matumaini, mbeleni, malengo (vuma, raha, nguvu)
(Rudini tunawangojeni)
Nyimbo kelele sana
Sikiliza zitakuongoza nyumbani
Hadithi yaendelea (kama moto)
Heshima warithi vizazi (waka daima)
Ushujaa waangaza mbingu na ardhi
Mara tena ashinda Natlan
Milele tuwangoje, na tutawaimbia
Rudini (ndugu), rudini (mashujaa)
Mara ya tena mwangani
Maisha marefu ni sasa