Skip to content

Nawacha Pombe Remix

Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Nawacha pombe till' further notice Yaani, nawacha pombe adi budangu anotice Ukinipata nakata maji, afande nishike na uniekele bangi Dr-dr-dr-dr-dr-dr-dr-dr-dr-dreaming Murda 1: Ssaru Nawacha pombe bado sitaki kudedi Nimepoteza Figo, Maini na Mashemeji Pombe ilifanya niwe peng kienyeji Nilikunywanga Gin, kanilalishia Jegi Pombe siipendi, naiweka pending Mukuchu, hii weekend no spending Yaani sitaki hizo party mi si attending Na ndani sina tackin, tafuta number za pedi Hutu tupombe twachochea za Githurai Tupombe tu tuwili unatekwa na Maasai, aai By chance, utakuta ni wa Rongai Na umepeana Pie kwa lijitu halifai Ssaru Pre-Chorus: Kushman Nawacha pombe till' further notice Yaani, nawacha pombe adi budangu anotice Ukinipata nakata maji, afande nishike na uniekele bangi Kushman Aai, nawacha pombe, nawacha pombe Nawacha pombe, aki pombe nitakumiss Aai, nawacha pombe, nawacha pombe Nawacha Pombe 2: Kushman & Ssaru Kushman pedi wa magenge Sina nyege za pombe anymore Kuanzia Monday mi na Pombe is a no Ata Pombe ikuje na Thong siikatii Ata ikuje bila? Siitaki Pombe imefanya si enjoy salo' yangu Saa hii nina watoto wengi kuliko budangu Ni ma mimba tu, nikishalewa sifikiri ni ma mimba tu Wife atanihepa nisipo wacha pombe Nilipita Choo, nikakojoa kwa kikombe Ujinga ya Pombe imenifanya Kibogoyo Nilipigwa kidevu ju ya Pombe ya uchoyo Aah, pombe na gari, ni ka stima na maji Nilipita na kuku na mambuzi za Jirani Pombe inaweza kukudanganya Imagine ilifanya nikate ka kimama, ayy Kushman Aai, nawacha pombe, nawacha pombe Nawacha pombe, aki pombe nitakumiss Aai, nawacha pombe, nawacha pombe Nawacha pombe 3: Benzema & Kushman Yeah, skiza Nawacha Pombe till 'further notice (Get out of here men) Nawacha Pombe Mother angu anotice Mzinga moja napata Cirrhosis Sijakula nyama natapika Ostrich Ushawai cheza Play station mlevi? Christiano anakaa Messi (Aje) Ukona Pad? Lakini si ya period Ukilewa kila dem wife material Sasa, tumelewa Sana? Sio sana Alehandro nawacha pombe Tll', further notice, ayy Pre-Chorus: Kushman Nawacha pombe till further notice Yaani, nawacha pombe adi budangu anotice Ukinipata nakata maji, afande nishike na uniekele bangi Kushman Aai, nawacha pombe, nawacha pombe Nawacha pombe, aki pombe nitakumiss Aai, nawacha pombe, nawacha pombe Nawacha pombe, aki pombe nitakumiss