Skip to content

Yesu Ni Bwana

Joyce Chale
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Mshukuruni bwana kwa kuwa ni mwema Maana fadhili zake ni za milele Mshukuruni bwana kwa kuwa ni mwema Maana fadhili zake ni za milele Katika shida zangu nalimwita bwana Naye kwa kishindo akanijibu Akaniweka palipo na nafasi Ili nafsi yangu ifurahi Bwana Yesu yu upande wangu Mwanadamu hana la kunitenda Mshukuruni bwana kwa kuwa ni mwema ahh Yesu Ni mwema ahaa! Watu wote na waseme sasa Yesu ni bwana ahaa! Ni heri kumtumainia bwana Kuliko kutumaini watu Bwana Yesu ndiye nguvu zangu Wimbo wangu na wokovu wangu Yeye ndiye mlango wa haki eehh Kila mwadilfu na apitie Jiwe walilokataa waashi Hilo ndilo jiwe kuu la pembeni eheee! Mshukuruni bwana kwa kuwa ni mwema aah Yesu ni mwema ahaa. Fadhili zake ehe ehe he he heh! Ni za milele eeh! Watu wote na waseme sasaaa... Yesu ni bwana ahaaa! Sauti za furaha na wokovu Zimo hemani mwake bwana Yesu Mkono wake wa kuume wa nguvu Hutenda makuu kwa waaminifu Bwana yesu yeye ndiye mkuu eehh! Naye ndiye atupaye nuru Mkono wa mwana pekee wa Mungu Umetukuzwa na hutenda makuu Mshukuruni bwana kwa kuwa ni mwema aahh! Yesu ni mwema ahaa! Fadhilizake ehee ehe heh heh eh! Ni za milele eehe Sbwan kwa kuwa ni mwema ah ah ah ah! Yesu ni bwana aha! Bwana mimi ninakushukuru Kwa sababu wewe ulinijibu Unajua uliadhibu sana Lakini hukuniacha nife Ahadi zako bwana ni za kweli eehh Tafuteni kwanza ufalme wa mbingu Watu wote na waseme sasa Yesu ni bwana ahaa Mshukuruni bwana kwa kuwa ni mwema ah ah ah ah ah! Yesu ni mwema aha Fadhili zake eh... eh