Hands up
Young Dee
Popularity ยท Low
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
put your hands up
weka mkono juu baby gal lyf is tough
ohaa chap chapร3
gwagwaan nacheki ni satand up
weka mkono juu baby gal lyf is tough
ohaaa chap cahap ohaaa
kwenye mic ya rap
yeaa
siku imeanza jua kali nimeamka saa sita jana nlikuwa kweye party
wakaapiga picha
leo xtori kitaani
magazeti yameandika kwani ninakitu gan
mwisho wangu umefika
wamesahau kama jua duniani na vitajika
wanasema mabaya mazuri yanafichwa
wamekuwa nalaya wakubwa kifikra
aaah
wanaja kuliko mungu baba wanatoa revenge hawatoi misaada
eeeha skia dear mama
maisha yangu ni karaha raha wamekaa nao wao
wanagawana kwa mgao tena sio wa haki
wakishapewa ndugu zao ndio watu baki
siogopi kudondoka naweza kunyanyuka
ssiogopi kuchafuka mara ngapi najifuta
sichoki kutafuta nikikosa naanza upya
hands up
weka mkono juu baby gal lyf is tough
chap chap oha
chap chap kwenye mic ya rap