Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Heri Siku Moja
Reuben Kigame
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
(Ewe Mungu wa majeshi) ewe Mungu wa majeshi
(Napenda kukaa nawรฉ) ni napenda kukaa nawรฉ
Maskani ('skani) zako zapendeza
(Na zi kondea) na zi kondea kwa shauku kubwa
(Heri) heri siku moja
(Mbรฉlรฉ zako) mbรฉlรฉ zako
(Kuliko) kuliko siku elfu mbali na wรฉwรฉ
Ee Bwana, nguvu na m'saada wangu; n'takupenda daima
Moyo na mwili wangu (moyo na mwili wangu Bwana)
(Viakulilia) viakulilia Mungu wangu
Heri (heri) nikose viotรฉ Baba
Lakini nikupate wรฉwรฉ (nipate wรฉwรฉ)
Heri siku moja (siku moja)
Mbรฉlรฉ zako (kuliko)
Kuliko siku elfu mbali na wรฉwรฉ (ewe Bwana)
Ee Bwana, nguvu na m'saada wangu, n'takupenda daima
M'chezeye Bwana, Team
ย
Allรฉluia
ย
Asante Bwana
Heri siku moja (siku moja)
Mbรฉlรฉ zako (Bwana mangu)
Kuliko siku elfu (siku elfue yingine) mbali na wรฉwรฉ
Ee Bwana, nguvu na m'saada wangu, n'takupenda daima
ย