Skip to content

Shiro - Remix

Kappy / Trio Mio / Kushman / Gody Tennor
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Hello, Shiro, fanya aje(Eeh) Shiro, tuma kwa hii namba We tuma tu kwa hii namba Si unajua vile si hufanya Nilifanya shiru akuje kwangu Ata kaa bado chali yake ni donga Nabambika na stick akipatiwa imejichonga Nashangaa izo ni gani alipatiwa hajai ona Yuskizia vizii nikimueka na mabendover Naguzaguza jegi githinyaku nikigonga Inabaki mi ni champe Shiro ushanisoma Bana ninafanya babygirl akue sponsor Mi humpatia ndizi mara tatu kaa mgonjwa Shiru ananicall tupatane saa moja Amenipikia fity keroma na Johnnie walker Mi niko kwa jeans leather jacko na topper Chini ni marubbo Shiro hapendi fosa Luku ni safi kondiko inacheza kwa toja Najuanga ni shughuli before tuanze kubonga Rowesanyoro mi nathugumira kwa sofa Manduru zinatoka aaah Shiro ana doh, Shiro ananisponsor Shiro ana doh, Shiro ananisponsor Shiro ana doh, Shiro ananisponsor Shiro anapendanga venye mi namchota Tulijuana na Shiro Dunda Kuna matha alikuja akanishow "naeza kusunda?" Eeh nitafute Runda naitwa Shiro But usikuje leo, leo niko na mashiro Kupenda mtu hajazeeka is all we know Wazee wako na pesa old is gold Nimepata sponsor staki kuteseka Tangaza kwa soko this guy is gone Hapa nimepata green pasture Hata ka ni kisima, wee nazama Paka ni mzee lakini vile inakunywa maziwa Weee Mi humuita sugar, Shiro my mummy The way she loves me, loves me, loves me Mi humuita sugar, Shiro my mummy The way she loves me, loves me The way she loves me, loves me, loves me Shiro ana doh, Shiro ananisponsor Shiro ana doh, Shiro ananisponsor Shiro ana doh, Shiro ananisponsor Shiro anapendanga venye mi namchota Cheki anafanana na Nandy Ananiitanga daddy Macho juu ya amani Na hajazi kwachu wathii Shiro anadoh kadem kabombe kana mahitaji Na ni m-expensive kana ganji ye hunikatisha maji Kam ninini, ile kitu unapendaga nakuiwhine Nitakupea namba tisa, kama mat za Eastleigh Kanajibu kila kitu kama ChatGPT Nakamunch CBD Aaah, Shiro ana doh Shiro ananisponsor Shiro tuma kwa pochi Niko na kiraka inagonjwa Itamezwa ukituma direct kwa MPESA Shiro ni doba zangu anarowesa (Trio Mio) Shiro ana doh, Shiro ananisponsor Shiro ana doh, Shiro ananisponsor Shiro ana doh, Shiro ananisponsor Shiro anapendanga vile mi namchota Shiro alininoki juu ya lugha Nilimsuka 1,2,3 akashtuka Aah, kamenichanganya medulla Nashindwa ni msapere na kamebeba dhudha Aki Shiro we ni wa uradi Kienyeji wangu we ni mali safi We ni wa Kilimani na vile unakaa mlami Bad gyal Shiro unapenda dhambi Aaah amenishow nisistress Akanishow "siwezi rudi kwa ex" Lightskin ama umetoka US? Kanapenda vitu safi ye hunipatia head Niulize? Kuna haja nitafute mumama Niulize? Ukipewa vizuri bado unahanya Haiwezii Shiro amenirank juu ya stick Shiro anapendaga akimess kwa bedsheet Ati juu nina bojongo inachimbaga fiti Bonjongo iko kazi kwa punani chini Aki ya nani hujaiona Bojongo imekula mkombero na nduma Ongeza supu njoti mi nakula Shiro, Shiro anapendaga yangu lolo Shiro anapendaga vitu nono Tangu akule yangu hataki tena za mamono Ye hudhigitha masonko wanaleta doh kwa mbosho Shiro ana doh, Shiro ananisponsor Shiro ana doh, Shiro ananisponsor Shiro ana doh, Shiro ananisponsor Shiro anapendanga venye mi namchota