Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Zawadi
Zuchu
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Ayo Lizer
Mon chรฉrie, je t'aime beaucoup
Penzi lako gundi, nimenasa
Mon chรฉrie, kama uchawi upo
Mganga wako fundi hasa, hasa
Eh, mwavuli wangu moyo umeufunika
(Wewe ndo) kiboko yangu unaejua pakunishika
Kama mapenzi pilipili
Lako laniwasha iniuwe
Nishakupa moyo na mwili
Uwe wako uchukue
Pokea (pokea) zawadi (zawadi)
Ya upendo wangu (ya upendo wangu-uh, my love)
Pokea (pokea) zawadi (zawadi)
Ya upendo wangu (ya upendo wangu-uh, my love)
ย
Oh, uh, oh
Ma chรฉrie (chรฉrie) mu ungiye baridi weni komeya
Mi hukaa makini (makini)
Macho yangu ye huona hu fumbariya
Zidishe zana
Bawe ya hunilisii
Nikikazana (kazana)
Kama mapenzi pilipili
Lako laniwasha in a good way
Nishakupa moyo na mwili
Uwe wako uchukue
Pokea (pokea) zawadi (zawadi)
Ya upendo wangu (ya upendo wangu-uh, my love)
Pokea (pokea) zawadi (zawadi)
Ya upendo wangu (ya upendo wangu-uh, my love)
Njoo tucheze kompa (kompa)
Mh-mh (oh, baby), aah
We' Lizer wewe
Aah, yah, yah, yah, yah
Eeh, warere (wakacha)
Wakacha (warere)
Mh, mh, mh, mh, mh, aah
Baby, pokea (pokea) zawadi (zawadi)
Ya upendo wa- (ya upendo wangu-uh, my love)
Baby, pokea (pokea) zawadi (zawadi)
Ya upendo wangu (ya upendo wangu-uh, my love)
Oh, my love
ย