Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Tamu
Zaituni
Popularity ยท Moderate
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Mmh mmh mmmh mmm mmmmh
Nimependwa nikapendeka wanasemaa nimerogwa sina noma
Ananifaa
Ananifaa mimi ananifaa mimi ananipea mahaba kwa wingi
Hanipimi ananipea yote (Yote!)
Kashaamua kunipenda misimu yote
Naamini ashapata ubavu wake na ni mimi hapa habanduki
Tam tam tamu sana mapenzi tamuuuu
Tamu sana mapenzi tam tam tamu sana mapenzi tamuuuu
Tamu sana mapenzi tam tam tamu sana mapenzi tamuuuu
Tamu sana mapenzi tam tam tamu sana mapenzi tamuuuu
Ninamjua ananijua
Ananielewa zaidi ya anayenijua
Na nikinuna anantuliza
Ananibembeleza roho inatulia
Ananiamini ninamuamini
Hatuna siri twaendana, shilingi kwa ya pili
Na sio siri, sio siri
Kupendwa raha kwanza na wewe kupendwa tatatatatam
Tam tam tamu sana mapenzi tamuuuu
Tamu sana mapenzi tam tam tamu sana mapenzi tamuuuu
Tamu sana mapenzi tam tam tamu sana mapenzi tamuuuu
Tamu sana mapenzi tam tam tamu sana mapenzi tamuuuu
Tamu sana ni tamu tena sana
Inadonjo inadonjo tu vibaya
Amini usiamini niliapa sitawahi penda mwingine
Nikiwa na yeye haunipati na nikiwa na yeye haumpati
Na nikiwa na yeye it's a party nikiwa na yeye hakutaki
Na nikiwa na yeye sikutaki eeeeh
Tam tam tamu sana mapenzi tamuuuu
Tamu sana mapenzi tam tam tamu sana mapenzi tamuuuu
Tamu sana mapenzi tam tam tamu sana mapenzi tamuuuu
Tamu sana mapenzi tam tam tamu sana mapenzi tamuuuu
Ni tamu
Ni tamu
Ni tamu
Ni tamu tena sana
Ni tamu
Ni tamu
Ni tamu
Ni tamu tena sana
ย