Skip to content

Gorokia

NellyTheGoon
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Ah Manabadmanting Ashy twende Me ni fyat Nilimdinya akakua pedi Kana nyama Akicheka, anakua keki Bila riz Me hutinga na gazeti Nikusere kusere Serengeti Ngeus wako namguza Semu nyeti Kabla mechi tuseti Zi guruneti Kayeela, kajaba, hamurumeki Kufa ganzi Zawadi ya mkurugenzi Go go Gorokia Rietete Na gorokia Go go Gorokia Rietete Na gorokia Gorokia na Gorokia Rietete Na gorokia Gorokia na Gorokia Rietete Na gorokia Nimeficha Ndani ya socks Shada au ngale Na nashoot toka Nje ya box Ndani au ndani Utaslide kwa DM Mii maganda Nitakuja na mashuksha Kupandana Sikusuki number Ka manamba Kuna difference ya durag Na bandana Go go Gorokia Rietete Na gorokia Go go Gorokia Rietete Na gorokia Gorokia na Gorokia Rietete Na gorokia Gorokia na Gorokia Rietete Na gorokia Ni mashash Si manyaru Mwenye wivu ameze Kiwaaaaaaaru Raru raru, Nyambura Popote kunakaa Room Me hucheki mangwati Mpaka za macaar... toon Siogopi kukushow I love tukiwa ndani ya Matatu Vuta nyongi hadi naikula Shaaa! Kisha naisekete Maimuna (ma!) Ingiza pole pole my ndula (ma!) Daily birthday yangu My cougar Yangu mpaka ndani na mfupa Kunyi ipanui ndio unuka Kunitupa jasho kwa hii bukla Watu wako mchele na Mabuglaaaaa! Go go Gorokia Rietete Na gorokia Go go Gorokia Rietete Na gorokia Gorokia na Gorokia Rietete Na gorokia Gorokia na Gorokia Rietete Na gorokia