Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Niangalie
Kethan
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Aah
Aah
Aah
Aah (mmh, mmh)
Kuna wenye vitabu
Kuna wenye hesabu
Wengine tulibarikiwa sauti na kalamu
Ninavyojijua, huwa napenda hadi mwisho
Kwa yale machache najivunia
Moja ni kukuita wangu, ooh-ooh
Wengi walifanya nikadhani sitawahi kupenda
Ila wewe umenionyesha, ninaweza kupendwa
Na wengi wakasema eti sitawahi weza kuweza
Ona vile tunaishi hii life bila pressure
Kama unataka, penzi lisiloisha
Niangalie, niangalie
Mi ninapo-kuona, naona maisha
Niangalie, niangalie
Nia- nia-, nia- nia-
Niangalie, niangalie
Nia- nia-, nia- nia-
Niangalie, niangalie (niangalie)
We wa thamani kuliko shaba
Ningetamani nikuite lover
Hakuna jambo linaloweza
Kunitenganisha na penzi lako
Unachotaka umekipata
Utapokwenda nitakufuata
I will always be yours
You will always be mine
Till the end of time
Na-aah-aah-aah-aah, nakupenda
Na-aah-aah-aah-aah, nakupenda
Kama unataka penzi lisiloisha
Niangalie, niangalie
Mi ninapo-kuona, naona maisha
Niangalie, niangalie
Nia- nia- (aah-aah-aah-aah)
Ooh niangalie, niangalie
Nia-, nia-, ooh (nia- nia-, aah-aah-aah-aah)
Niangalie (aah, nakupenda)
ย