Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
2025
Marioo, Stans
Popularity ยท Moderate
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Stans, oh (Click Master)
Ai-wewe, oh-yeah, eh
Ah, baby ni-post
Kwani mi' si mali yako
Unamuogopa nani, ai-wewe, eh
Baby nichumu
Kwani mi' si mali yako, oh
Unamuhofia nani, ai-wewe
Mi' naona raha
Kama tunawakera, ah
Na bila hata kuwagusa
Bila hata kuwasema
Mi' naona raha
Kama tunawaboa, ah
Bila hata kuwaomba
Bila hata kuwagasi
Ah, Mungu kaumba dunia ina watu na viatu
Ah, kaumba dunia ina vitu na vituko, oh
Mungu kaumba dunia ina watu na viatu, oh
Ila si tunavyopendana, wataachana wao
Tunadunda mpaka
Mbili ishirini na tano (2025)
Mbili ishirini na sita (2026)
Mbili ishirini na saba (2027)
Oh, mbili ishirini na nane (2028)
Tunadunda mpaka mbili ishirini na tisa (2029)
Oh, mbili thelathini (2030)
Oh, ila si tunavyopendana, wataachana wao, oh
Yeah, Stans oh
Eh, baby naomba nifanye
Baby naomba nifanye
Nifanye niwe wako daima mpaka mwisho
Oh, baby naomba niweke
Baby naomba niweke, eh
Ndani ya moyo wako daima, eh
Wale wote wanaojifanya pweza
Wa kutabiri penzi
Mwaka huu tuwachinje
Tunywe chuzi la kuongeza nguvu (ah)
Wale wote wambea, wambea
Watia chumvi penzi
Midomo tuwafumbe
Tupendane waishiwe nguvu (ah)
Eh, Mungu kaumba dunia ina watu na viatu
Ila si' tunavyopendana, wataachana wao
Tunadunda mpaka
Mbili ishirini na tano (2025)
Mbili ishirini na sita (2026) (oh)
Mbili ishirini na saba (2027)
Oh, mbili ishirini na nane (2028)
Tunadunda mpaka mbili ishirini na tisa (2029)
Oh, mbili thelathini (2030)
Oh, ila si tunavyopendana, wataachana wao, oh
Eh-ih, Stans oh, aah, eh
ย