Skip to content

LALA TOTO

Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

(Background)La la la la la la Laala.lalalalalalalalaaalalalala Haya mambo ya dunia huwezi yaelewa toto Kuna wakati ni heri kubaki ndani ya ndoto Iwapo sina muda wa kuwa nawewe nikufunze toto Naomba ulimwengu usije ukakuvunja moyo ooohh Msikize mama yako Kaa rada ya mabeshte zako Tegemea jasho lako Ikibidi pigania haki zako Na usipende vya bwerere Usiamini kila kitu kwenye tele Saa zingine ni ugali na terere Ila kesho baraka zitakuja tele Lala toto lala ulimwengu mbaya Lala toto lala usione mabaya Lala toto lala itakuwa sawa Lala toto lala Toto lala