Nipe Habari Ya Yesu
Fanuel Sedekia
Popularity ยท Low
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Mmh, mmh
Nipe habari ya Yesu, niiandike rohoni
Uniimbie Zaburi, ya kumsifu Yesu
Sifa iliyo tangazwa, na Malaika zake
Mungu wa juu atukuzwe, iwe amani Duniani
Nipe habari ya Yesu, niiandike rohoni
Uniimbie Zaburi, ya kumsifu Yesu
Nipe habari ya Yesu, jinsi alivyoteswa
Akijitwika laana, ya Ulimwengu wote
Maradhi yangu na dhambi, alichukua yeye
Siku zote yu tayari, kusaidia wenye shida
Nipe habari ya Yesu, niiandike rohoni
Uniimbie Zaburi, ya kumsifu Yesu
Nipe habari ya Yesu, alivyotufilia
Taja kaburi mwambani, alipotoka Yesu
Lengo la Yesu ni kubwa, alietufilia
Akafufuka hakika, namshukuru siku zote
Nipe habari ya Yesu, niiandike rohoni
Uniimbie Zaburi, ya kumsifu Yesu
Ndio, napenda kueleza habari hizi njema
Habari za Yesu, na upendo wake
nayo ndio itakua habari yangu ya siku zote
Kuwaeleza habari za Yesu, Yesu na upendo wake
I love to tell
I love to tell, history to make my faith in glory
To tell the all of story, of Jesus they deserve
I love to tell the story to make my faith in glory
To tell the all of story, of Jesus they deserve
To tell the all of story, of Jesus they deserve
He's love, (he's love)
Yes, he's love