Skip to content

Siwezi | Citimuzik.com

Baraka The Prince
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Ulinipa donda ndugu Donda ndugu ni gumu kupona Ila siwezi sema sitopenda, nitamkufuru Mola Unajua umenipa maumivu sugu Maumivu sugu yasokwisha yote Sababu ya kukupenda wee Na sintochoka kukuombea kwa Mola Akuzidishie baraka Hata kukupenda wewe sichoki ii Najua kunipenda sio lazima Siwezi kuijenga chuki Maa'ke najua Nilijipa imani mwenyewe ipo siku utanithamini Ila haukuwa nafasi yangu wewe Naamini haukuwa fungu langu Aaah kungoja yote kwanini?! Leo, moyo wangu naukanda mie! Sitopunguza mapenzi (kwa we) Kukuchoka siwezi (je we?) Japo nimekosa penzi (nawe) Nitaufariji moyo Sitopunguza mapenzi (kwa we) Kukuchoka siwezi (je we?) Japo nimekosa penzi (nawe) Nitaufariji moyo Ooh mama wee Naumia sana moyoni wee Umenipa msiba Msiba msiba bila kilio Umenivua utu uzima Nikatoa machozi ka ya mtoto Hata kama nikisema nipende kwingine tatizo ni moyo Moyo, kwana unaona nitadanganya Tatizo uliopenda ni moyo Siwezi kubishana nawe Japo nafasi yangu kwako haikupatikana Ila hongera kwa kuchukua usingizi wangu Nashukuru mapema nilijua ipi nafasi yangu Wewe sio mangapi ila nimeamua kuwapisha wenzangu Na kujipa imani moyo wangu hutokusahau Wewe, haukuwa nafasi yangu wewe Naamini haukuwa fungu langu Aaah kungoja yote kwanini?! Leo, moyo wangu mi naukanda mie! Sitopunguza mapenzi (kwa we) Kukuchoka siwezi (je we?) Japo nimekosa penzi (nawe) Nitaufariji moyo Sitopunguza mapenzi (kwa we) Kukuchoka siwezi (je we?) Japo nimekosa penzi (nawe) Nitaufariji moyo Sitopunguza mapenzi (kwa we) Kukuchoka siwezi (je we?) Japo nimekosa penzi (nawe) Nitaufariji moyo Sitopunguza mapenzi (kwa we) Kukuchoka siwezi (je we?) Japo nimekosa penzi (nawe) Nitaufariji moyo Eeh usining'ang'anie mie, mie Sipunguzi mapenzi Eeh sipunguzi mapenzi