Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
18
Jay Melody
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
๐ต
Mr LG
Nilipanga nitapenda nikifika miaka 20
Hivi sasa 18 sijui nimepatwa nini
Kuna mtu nampenda lakini sijiamini
Sio kama najua sana kwamba mapenzi ni nini
Ananitoa kwenye malengo
Sikupanga kuingia kwenye maupendo
Ananitoa kwenye malengo
Vitu vyake navutiwa kila engo
Oh mimi
Tafadhali Huyu Wangu
Haya mapenzi dhahabu
Tafadhali kweli moyo wangu
Haya mapenzi yangu dhahabu
๐ต
Bado najiuliza kama ana hisi Nnavyo hisi
Ila najua kua hivyo sio rahisi
Nami mjini wa mapenzi nisije
Nikaitiwa police
Nikaumbuka nikachukia mapenzi
Penzi oooh penzi oooh
Usiniumbue mwenzio
Nikaanza na kilio
Eti ndo kiinglio
Ananitoa kwenye malengo
Sikupanga kuingia kwenye maupendo
Ananitoa kwenye malengo
Vitu vyake navutiwa kila lengo
Oh mimi
Tafadhali (we tafa) moyo wangu (we moyo)
Haya mapenzi dhahabu (tafa we)
Tafadhali kweli huyu wangu
Huyu moyo
Haya mapenzi yangu dhahabu
๐ต
Once again