Edita
Mlimani Park Orchestra
Popularity ยท Low
YouTube
Searching YouTube...
Lyrics
Najua najua una mawazo
Lakini tutafanyaje ikiwa wazazi wako wameamua hivyo
Najua najua una mawazo
Lakini tutafanyaje ikiwa wazazi wako wameamua hivyo
Nia yangu na madhumuni yangu ...
Ilikuwa
tufunge ndoa na tuishi sote kama mke na mume Celina
Nimejitahidi kadili ya uwezo wangu...
Wazazi wako wameniwekea vikwazo vingi...
Najua najua una mawazo
Lakini tutafanyaje ikiwa wazazi wako wameamua hivyo
Najua najua una mawazo
Lakini tutafanyaje ikiwa wazazi wako wameamua hivyo
Najua najua una mawazo
Lakini tutafanyaje ikiwa wazazi wako wameamua hivyo
Nia yangu na madhmuni yangu...
Ilikua
Tufunge ndoa natuishi sote kama mume na mke Celina
Nimejitahidi kadili ya uwezo wangu...
Wazazi wako wameniwekea vikwazo vingi...
Celina aaaa...
Ooh Celina piga konde moyo ooh Celina...
Ooh Celina utafanikiwa ooh Celina...
Na kwa sababu imekuwa hivyo Celina eeh
Sioni haja ya kutaka UJIUE kwa ajili yangu ...
Oo Celina piga konde moyo oo Celina...
Oo Celina utafanikiwa oo Celina...
Na kwa sababu imekuwa hivyo Celina aa
Sioni haja ya kutaka UJICHINJE kwa ajili yangu ...
Ooh Celina piga konde moyo ooh Celina
Ooh Celina tutafanikiwa ooh Celina
Ooh Celina piga konde moyo ooh Celina
Ooh Celina tutafanikiwa ooh Celina