Skip to content

Wewe Ni Nani

Steph Kapela, Scar Mkadinali
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Wewe ni nani? Wewe ni wa kina nani Ati umetoka pande gani Wapi mtaani mbona ni ka haujulikani Buda umecome na kina nani? Mbona unakaa summer bunny flani Unakaa wa Kilimani, umefikaje Kasarani Buda umejileta pabaya Wacha kakitu naweza kutetea Ata magova ndo wale wabaya Nampa kakitu na anatembea Life si fare lazima vijana washibe Ju maisha ilishatulemea Huwezi compare kama uliweza kusoma Usikam kunisomea Eh kenye ulipewa mi sina Wengine lazima tusake (Lazima tusake) Kenye haipatikani kwangu Lazima ipatikane kwake (Tutapata kwake) Nalenga chai walai Nihustle nipate mkate Bahati mbaya mi nihate Siwezi kushiba na mate Mwisho wa rodi labda ni pingu Labda ni panga vile itakam Ngori ni ngori bado nakam Sinaga worry mbogi haram Mwisho wa rodi labda ni pingu Labda ni panga vile itakam Ngori ni ngori bado nakam Sinaga worry mbogi haram Wewe ni nani? Ka hatukujui tunakudisrespect Usiulize nakuibia kwa nini Hata mimi naibiwagwa na MCSK Nikikupona nanunua makali Kuomoka na wizi hata mi si-expect We unaona mabati mi naona nyumbani Kacheze mbali buda hii si estate Ambia hako ka-hater bado anatafutwa Manze na astick aliko Wanateta mi nina vitu mbili kubwa Buda dick na ego Hadharani nina njora No face utadhani ni horror Si ni wakora wakuchora Kukusorora before kukupora Huku ni kazi na sala azyn hakuna kulala Wametu-wametukazia sana Me ndo nakaanga na ganji ya chama Niko na gari hapana lakini Benz tukikuja matanga Fala-Fala anakwara tukamvunja mifupa Kwa kumsamba mapanga So labda ni pingu Labda ni panga, vile itakam Ukianzisha ngori naongeza irori Ndo tujue ni nani ndo chizi akijam Mwisho wa rodi labda ni pingu Labda ni panga vile itakam Ukianzisha ngori naongeza irori Ndo tujue ni nani ndo chizi akijam You gotta know how to move in the city I walk with a limp, I got money in the shoes She got em drooling the size of the titties But they don't know that's where she keeps all the loot I can't make a call in the middle of the traffic Unless the windows is up to the max And even men I cannot even relax I know how niggas be moving in packs I swear we moving the best Ningewapora but my mama called me And told me to rap Mi nina mbogi Kisumu, Nairobi, Nakuru Mombasa they call me Sultan These niggas they know me I'm a hustler hommie si brag Na siogopi na mi niko territory yenu Hapa chogi anaweza pigwa slap (Pah) Tao niko rada nikitoa MPESA Alafu natoa karibu na stage Nipande matatu ndo wasinifuate Tukware na donda ju mi sina change Nikidondoka nakanyaga kubwa kubwa Ka masaa zimeshapita ten Ju hata jirani nika hawakujui Usiku kumbuka washapiga shem Hii rende ni wrong, rende no nonsense So si wanajuangaa ni nani wata-blame Chrome inafanya msupa akuwe ratchet Kumbe anaplan kukukula machain, hahaha Shika kindom uwashe Una roho chafu mi staki hiyo chain Mi si kondoo si move na masses Hivo ndo mbleina hushikwa na maplain