Skip to content

Mchuchu

Mocco Genius
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Yeah Mocco Mimi nimekuona wewe Katika mamia ya wengine Mi wa kwako wewe Hakika sina mwingine Wa maisha yangu, wa maisha yangu Wa maisha yangu, wa maisha yangu Mbona hata mama aliniambia Kila kitu changu cha kwako wewe cha kwako Ndo maana nakupa mchuchu moyo wangu wote Nakupa mchuchu moyo wangu wote Nakupa mchuchu moyo wangu wote Nakupa mchuchu moyo wangu wote Yeah, hii tamu bwana Busu tu nazima Mahaba yako mazito ukiyapima Uwezo sina ningekuhonga madinar Na kwa hii dunia iitwe kwa lako jina Ooh nilikwambiaga ulinipende mimi tu Mapenzi ya kumwaga, oh Wa maisha yangu, wa maisha yangu Wa maisha yangu, wa maisha yangu Mbona hata mama aliniambia Kila kitu changu cha kwako wewe cha kwako Ndo maana nakupa mchuchu moyo wangu wote Nakupa mchuchu moyo wangu wote Nakupa mchuchu moyo wangu wote Nakupa mchuchu moyo wangu wote Halo, uuh-uuh Hii tamu bwana Oh, yeah