Skip to content

Mbinguni Ni Furaha

Msanii Music Group
Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Mbinguni ni furaha Hakuna matatizo Yesu ndiye mambo yote Tutaishi naye Mbinguni ni furaha Hakuna matatizo Yesu ndiye mambo yote Tutaishi naye Kule juu (juu) Mbinguni mwa Baba Furaha tele tele Kwa walio wake Kule juu (juu) Mbinguni mwa Baba Furaha tele tele Kwa walio wake (Ji...) Jicho halijawahi ona (Nde...) Ndewe halijasikia (Ya...) Yale Kristo kaandaa (Kwa...) Kwa walio wake (Ji...) Jicho halijawahi ona (Nde...) Ndewe halijasikia (Ya...) Yale Kristo kaandaa (Kwa...) Kwa walio wake Kule juu (juu) Mbinguni mwa Baba Furaha tele tele Kwa walio wake Kule juu (juu) Mbinguni mwa Baba Furaha tele tele Kwa walio wake (Instrumental) (Na...) Na we mwenzangu tubu leo (Ye...)Yesu haachi kuitana (U...) Unayo nafasi leo (Njoo...) Njoo kukutana naye (Na...) Na we mwenzangu tubu leo (Ye...)Yesu haachi kuitana (U...) Unayo nafasi leo (Njoo...) Njoo kukutana naye Kule juu (juu) Mbinguni mwa Baba Furaha tele tele Kwa walio wake Kule juu (juu) Mbinguni mwa Baba Furaha tele tele Kwa walio wake Kule juu (juu) Mbinguni mwa Baba Furaha tele tele Kwa walio wake Kule juu (juu) Mbinguni mwa Baba Furaha tele tele Kwa walio wake Wakeeee