Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Nimekuchagua Wewe
Bob Rudala
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Nimekuchagua wewe uwe wangu.
Ni safari ndefu ya mwanadamu, ya maisha na mapenzi.
Uwe mke au mume mala moja kubahatika maishani mwako, kumpata mtu furani ambaye huwa ni maarumu kwako, kipenzi cha moyo wangu haki ya dhiki kubwa,
Nimetambua na kuamini ya kuwa kukutana kwetu ni mwanzo wa kutima kwa ile ndoto yangu ya siku nyingi kwani pendo letu linakua kulingana na wakati! kila siku maishani mwangu nilikuwa na ndoto ya kumpata wangu mwenzi tufunge nae pingu za maisha.
(Corous)
Nimekuchagua wewe uwe wangu, wangu wa maisha wa kufa na kuzikana usijali mengi maneno ya watu wasemamayo yaliyopita sindwele tugange yanayokujakuja X 2
Nakupendaa weweee, malaika wa moyo wanguu, nakuhusudu weweee ua la moyo wanguu! i love u!
Moyoni ninafuraha tere upo mikononi mwangu.
Na kwa pete hii nakuoa uwe mke wangu wa ndoa.
Hakika we ni ubavu wangu, kwako penzi ninalinda. kama meli nimetia nanga kwako
Kwengine katu sitatamani. umewaacha wazazi wako baba na mama kwa mapenzi ungana nami katika ndoa takatifu, na leo sio wawili tena tu mwili mmoja tumwombe mungu atujalie ndoa yenye baraka tuje tuzae na watoto, waizunguke meza yetu, upendo utawale nyumba yetu, tuwe wakarimu kwa wageni wetu wote.
(Corous)
Nimekuchagua wewe uwe wangu, wangu wa maisha wa kufa na kuzikana usijali mengi maneno ya watu wasemamayo yaliyopita sindwele tugange yanayokujakuja X 2.
(End)
By ALINWILA
ย