Skip to content

Diana

Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Diana nah nah Diana nah nah nah Diana nah nah Diana nah nah nah (Teddy B) Baby romantic siwezi waza nikikupoteza Subiria,subiria nikisubiri mpenzi Si nilikupa mapenzi,narudia baby Ukinitoka baby itauma nami nitakonda yeah Coz nobody compared to my woman Ulivyo mzuri kama doli(Diana) Roho yangu taabani(Diana) Toka zamani(Diana) Bado ni wewe natamani(Diana) Give me love(Diana) Nitakupeleka kwa mama(Diana) Sina ujanja nakupenda(Diana) Mukunduru misimu pesa(Diana) Na mbona tunagombana Bishana pigana,that is not for me Niwe nataka na sina mwingine ma That is all for me Nabody else that deserves you Wanajua we ni wangu I"m gonna marry you one day It baby but you know But our song is on repeat Said I love you darling No gimicks habibi Still I will love you baby Ukinitoka baby itauma nami nitakonda Coz nobody compared to my woman Ukiuliza majirani(Diana) Aki ni wewe natamani(Diana) Na ukisema sifai(Diana) Aki sina amani(Diana) Give me love(Diana) Nitakupeleka kwa mama(Diana) Sina ujanja nakupenda(Diana) Mukunduru misimu pesa(Diana) Ni Bahati tena Na Bruce Melody Rwanda to Kenya Tuwape melody Diana nah nah Diana nah nah nah Ulivyo mzuri kama doli(Diana) Roho yangu taabani(Diana) Toka zamani(Diana) Bado ni wewe natamani(Diana) Give me love(Diana) Nitakupeleka kwa mama(Diana) Sina ujanja nakupenda(Diana) Mukunduru misimu pesa(Diana) Give me love (Diana) Nitakupeleka kwa mama (Diana) Sina ujanja nakupenda (Diana) Mukunduru misimu pesa (Diana)