Skip to content

Zawadi

Popularity · Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Mon cherie ne t'aime beacoup Penzi lako gundi nimenasa Mon cherie kama uchawi upoo Mganga wako fundi hasa hasa Eh mwamvuli wangu moyo umefunika Wewe ndo kiboko yangu Unaejua pakunishika Kama mapenzi pili pileey Lako laniwasha in a good way Nishakupa moyo na mwileey Uwe wako uchukuee Pokea, pokea Zawadi, zawadi Ya upendo wangu Ya upendo wanguuu my love Pokea, pokea Zawadi, zawadi Ya upendo wangu Ya upendo wanguuu my love Ma cherie cherie Mu ungiye baridi weni komeya Mi uka makini Matso yangu ye hu ona hu fumbariya Zidisha ye zana Bawe huni lisi yilikiki kazana Kama mapenzi pili pileey Lako laniwasha in a good way Nishakupa moyo na mwileey Uwe wako uchukue Pokea, pokea Zawadi, zawadi Ya upendo wangu Ya upendo wanguuu my love Pokea, pokea Zawadi, zawadi Ya upendo wangu Ya upendo wanguuu my love Njoo tucheze kompaa, kompaa Mh mmh aah We lizer weweee Aah yah yah yah yah Eeh warereeee, wakachaa Eeh wakachaa, warereee Mh mh nh mh mh aah Baby pokeaa, pokea Zawadi, zawadii Ya upendo wangu Ya upendo wanguuu my love Baby pokeaa, pokea Zawadi, zawadii Ya upendo wangu Ya upendo wanguuu my love