Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
KAPESA KIDOGO
Elvin Ega
Popularity · Low
+
Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Mimi pia sipendi mboga,
ehh mi pia sikuli mboga,
Wiki moja nakula tu mboga tu once,
Keshowe ni samaki, peke yake,
Kapesa kidogo kashanichanganya,
kwa base na roll kama superstar,
unafanyanga nini,
mimi ni hustler,
na madem nao wananihanda,
kapesa kidogo,
ohh no,
pesa kidogo,
ohh no no,
pesa kidogo,
imenifanya hivi,
kidogo ohh,
ahh ahh ahh,
Pesa kidogo,
Maringo inanipanda ninawalk ka sponyo,
onyo tena fupi tena nono,
utarai ati me ndio Wololo,
lolo ninakunywa life na straw olo,
Orina wakiniita ata siitiki,
sikunywi keg tena ni ma whiskey,
sijui sheng tena am allergic,
ohh naringa naringa,
kameso kakicome naringa,
ninafeel ka bazo naringa,
ninaroll na maninja madinga naringa,
ohh no,
pesa kidogo,
(kidogo kidogo)
ohh no no,
(pesa kidogo)
pesa kidogo,
(kidogo kidogo)
imenifanya hivi,
(pesa kidogo)
kidogo ohh,
(kidogo kidogo)
ahh ahh ahh,
(pesa kidogo)
Pesa kidogo
ahh,
pesa ni sabuni ya roho,
confirmed najiona me ni Joho
pressure zii maisha ni YOLO
nyama kwa wingi mboga kidogo,
Leo napita mtahani nikigotea kila msee,
(Na we si jana ulikuanga umesota),
musimind huyo ni hater,
anapenda nikiwanga nikiteta,
Pesa kidogo inanafanya nikidharau watu local,
ahh,
Pesa kidogo inafanya nikue anti social,
ahh,
Ok blessed people thank you so much the lord bless you,
(amen)
Yes I will see you, so you guys are going by road,
(yes)
Just watch the vehicles on the road because the road is a bit tricky,
yes and then we will meet there you are coming to Riverside,
(yes)
Because of,
Pesa kidogo inanafanya nikidharau watu local,
ahh,
Pesa kidogo inafanya nikue anti social,
ahh,
Leo nakuambia naokoka,
katika jina la yesu ,
nimeokoka,
I have blessed you internally,