Skip to content

Tunakubali

Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

timmy dat taya kansol Kasabun kasabun timmy dat taya say dooh wacha track i drop say dooh na tuko tu pacho kwan boss dat more more fire (tunakubali kanface ooh)4 flow inauliza na hii track imekubali sauti sawa na hii mik imekubali so iko poa na mafun wamekubali swaga nayo ata madem wamekubali (eeh eh) kutake a time kachipo kakikubali kuweka tam hakuna aliyekubali timmy dat .kama timmy nakubali mchiiina kumbe walisakubali kansoul yoo yoo bo bo booo nimekubali humalizanga drink nikifika kwenye paty am not asock nimefiat tuu kiasi ends the name matrax Aka madi kuiba track nimekubali kungaraa wot nimekubali kansol ikifika mambo yote kwisa nifunge tu pingu na wengine nawaebisha. ngongo ngayaa tunakubali 2 kanfacee ooh eeh yoo timmy dat kansol utakubali hii ni ile track inafanya unaskia kumkamata manzi ukimtupia lugha na kisha akikubali ukifika kejani chuma inalala ndaaa nilikua blindede .nikakubali manzi kufungua sauti anaongea kama mwakazi vye nilijitoa ni mteja hapatikani kwa ata we haungekubali moto fire tunakubali (4) ngo ngo ngayaa tunakubali kora nilianza na kaselfi wakakubali the kansoul ni moto wa kuotea mbale tukatoa nyongwaa ngoma ya kubabi nikaanza kugitha madem wakatoa panty nishakubali mi ni babi nakombitho mi huvuta chini ya maji na si siri mi upenda wamajani nawapenda wale sexy mi ni fisi moto fire tunakubali (4) kanfacee ooh ngo ngo ngaya (shwaga nayo)8. na tuko tu pacho kwan boss . tunakubali