Skip to content

Safari

Nikki Wa Pilli feat. Navykenzo|joh Makini, G Nako, Jux & Vanessa Mdee
Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Where is my money yoo Where is my honey njoo Bila we ni presha na kesha na weee Tusiachane, safari ya mapenzi kitane Aziza anita anne Atoke nanii anitukane, eti sina pozi sina money Niweke pozi au nikuchane Nikupe kikii ujulikane Hakuna kikii jus funny Sina mshahara ila shout-out Mziki biashara. Wananitaka leo akina sara Sio me... Sio joe. Sio G. Wara wara Watoto wanapenda asali Watoto hawapend ukalo Hawapendi safari Maisha kufika ni mbal na tena kwa msoto mkalii I love u waubanii waubanii Na huku i love your money I love u waubanii waubanii Na huku i love your money Man me na we si journey Safari its not funny Jamani hawataki kuni crown me Usijalii hakiananii Demu alizani me ni Jigga Nikamuacha akidhani nikapiga Hakuna goldi. Wacha digger Utachezea wazungu wa nigger Ma shopping kutwa kwa maduka Salooni ma wigi kusuka Ma disco ma joker kuruka Na jina mwandike kwa chupa Kwa miguu ata nikamaliza moka Me bado sikua kanye kumbe ka sisterdu kitambo kalkua Kardashian Amna kitu kichwan daashi yan Watoto wanapenda asali Watoto hawapend ukali Hawapend safari Maisha kufika ni mbal na tena kwa msoto mkalii Where is my money yoo Where is my honey njoo Bila we ni presha na kesha na weee Where is my money yoo Where is my honey njoo Bila we ni presha na kesha na weee I love u waubanii waubanii Na huku i love your money I love u waubanii waubanii Na huku i love my money Utanipiga dek nkikudekezaa Maisha safari ndo kuwekeza Mara anataka iphone hmmmm Nkakanunlia apple Kakatafuna kisha kakatafuna Kakataka out nkakatoa nje Kakpigwa upepo nkakaimbia XO Mapenz mama ntakupa pepo Mambo za nini nini eeh karibu depo Me ni zero juu yako Simama pembeni kushoto tukamilishe kumi Watoto wanapenda asali Watoto hawapend ukali Hawapend safari Maisha kufika ni mbal na tena kwa msoto mkalii Where is my money yoo Where is my honey njoo Bila we ni presha na kesha na weee Where is my money yoo Where is my honey njoo Bila we ni presha na kesha na weee I love u waubanii waubanii Na huku i love your money I love u waubanii waubanii Na huku i love my money I love my money!!