Pamela
Popularity ยท Low
Listen
YouTube
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Pamela eke eke Pamela oho
Umeonyesha juhudi kubwa ngo
Kwa wazazi wako Pamela e
Kwa kumaliza masomo mama we
Vila ya matatizo Pamela e
Pamela eke eke Pamela oho
Umeonyesha juhudi kubwa ngo
Kwa wazazi wako Pamela e
Kwa kumaliza masomo mama we
Vila ya matatizo Pamela e
Pamela eke eke Pamela oho
Umeonyesha juhudi kubwa ngo
Kwa wazazi wako Pamela e
Kwa kumaliza masomo mama we
Vila ya matatizo Pamela e
Jambo la muhimu nakuomba mama we
Twende kwa wazazi nyumbani
Wakatuwone
Jambo la muhimu nakuomba mama we
Twende kwa wazazi nyumbani
Wanadugu zako wote walinitambua e
Waliobaki wazazi wako Pamela e
Ah ah ah ah
Jambo la muhimu nakuomba mama we
Twende kwa wazazi nyumbani
Wakatuwone
Jambo la muhimu nakuomba mama we
Twende kwa wazazi nyumbani
Wanadugu zako wote walinitambua e
Waliobaki wazazi wako Pamela e
Ah ah ah ah
Jambo la muhimu nakuomba mama we
Twende kwa wazazi nyumbani
Wakatuwone
Jambo la muhimu nakuomba mama we
Twende kwa wazazi nyumbani
Maneno ya busara kutoka kwa wazazi yo
Utayapata nadua nje ma Pamela e
Ah ah ah ah
Haya twende
Twende kwa west Wanjiku
Jambo la muhimu
Nakuomba mama we
Twende kwa wazazi nyumbani
Wakatuwone
Jambo la muhimu
Nakuomba mama we
Twende kwa wazazi nyumbani
Wandugu zako wote
Walinitambua
Walio baki wazazi wako familia
Jambo la muhimu
Nakuomba mama we
Twende kwa wazazi nyumbani
Wakatuwone
Jambo la muhimu
Nakuomba mama we
Twende kwa wazazi nyumbani
Maneno ya busara
Utoka kwa wazazi
Tutayapata na duwa njema familia
Jambo la muhimu
Nakuomba mama we
Twende kwa wazazi nyumbani
Wakatuwone
Jambo la muhimu
Nakuomba mama we
Twende kwa wazazi nyumbani
Wandugu zako wote
Walinitambua
Walio baki wazazi wako familia
Jambo la muhimu
Nakuomba mama we
Twende kwa wazazi nyumbani
Wakatuwone
Jambo la muhimu
Nakuomba mama we
Twende kwa wazazi nyumbani