Skip to content

Kama Akida

Zabron Singers
Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Namtapta bwana yule yule wa ushindi Mi ndio peke najua wapi alikonitoa Nina historia uzoefu wa ushindi Kwa macho nimeona Mungu alivyonibeba From zero to hero from nothing to something Nami leo ni mtu katikati ya watu Hakuna kama Mungu Hii dunia alitamka ikawa ikatokea Umbali tumefika ni huyu Yesu Asingekuwa Mungu singefika hapa Nami kama akida bwana ukisema neno tu Hapa nilipo shida zangu zitakoma Yani kama akida bwana utamke neno tu Hebu sema neno hapa nilipo shida zangu zitakoma Yani kama akida bwana ukisema neno tu Hapa nilipo shida zangu zitakoma Heee kama akida bwana utamke neno tu Hebu sema neno hapa nilipo shida zangu zitakoma Zitakoma shida zangu zitakoma sema neno Hapa nilipo shida zangu zitakoma Zitakoma shida zangu zitakoma bwana sema neno Hapa nilipo heee hapa nilipo Yesu hapa nilipo heee bwana hapa nilipo Shida zangu zitakoma Akida aliishi na mtumwa aliye mpenda Ka uguwa akia sijatakufa Aka tumawa zee wamwite Yesu aje nyumbani mwake Heee alipotumawa zee wamwite Yesu nyumbani mwake aje Ili amponye huyu mtumwa wake Kabla afike tena akatuma wajumbe Yesu wala usijisumbue Kufika nyumbani kwa akida Sema neno tu hapo ulipo Na mtumwa atapona Yesu aka ugeukia mkutano Kawaambia sijaona Israel hii yote sijaona Imani kubwa kama hii Walipofika nyumbani kule Nyumbani kwa yule akida Walimkuta mtumwa yule tayari keshapona Nami kama akida bwana ukisema neno tu Hapa nilipo shida zangu zitakoma Yani kama akida bwana utamke neno tu Hebu sema neno hapa nilipo shida zangu zitakoma Yani kama akida bwana ukisema neno tu Hapa nilipo shida zangu zitakoma Heee kama akida bwana utamke neno tu Hebu sema neno hapa nilipo shida zangu zitakoma Zitakoma shida zangu zitakoma sema neno Hapa nilipo shida zangu zitakoma