Skip to content

Pumzi

Jimmy Chansa
Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Chozi lanishuka najiponza kwa mvinyo Mahaba nishasusa huko mimi simo Maana hai ulishanizika Kanichimbia na shimo Nikate pumzi nitoke duniani Mautam na utam, mautam ya hamu Ila mwisho ni uadui na sijui Hebu niambie mmmh Tulivyopanga ikasanda nitulie Ukatanga na kudanga, niambie mama Penginee (penginee) Ntulie bwana na uadui Hukushiba na makopa wewe Japo vingi vyanichocha mi nilewe Ukionywa unafoka ila wewe Yako kali sumu nyoka Maanake mimi nilikupenda wewe zaidi Sikuwahi hata kucheat niliyoyatenda Mungu shahidi Tunda nimelipopoa mwenyewe shamba la bibi Wajanja wakanizidi kukuacha sikutaka ila imenibidi Fahamu kuwa siwezi kula wali mkavu mgaagaa na upwa Mwili umenikongoroka imebaki mifupa Taja ulichokitamani nkakataa kukupa Uko kwa wahuni utatumika sana ukichakaa unatupwa Nikaona tu nikubwagie manyanga Kipi cha kung'ang'ania pisi yenyewe majanga Nikienda kazini ghetto unaniletea waganga Ili nisiwe na neno akiniaga kuelekea kudanha Vingi nilikupa funguo za mkoko Vinguo vya mtoko kila wiki vizawadi Mahaba motomoto Ukipika napenda hata ukitoa bokoboko Ila kwa kuwa dawa ya moto ni moto Utazimwa na moto wa msoto Hebu niambie mmmh Tulivyopanga ikasanda nitulie Ukatanga na kudanga, niambie mama Penginee (penginee) Ntulie bwana na uadui Hukushiba na makopa wewe Japo vingi vyanichocha mi nilewe Ukionywa unafoka ila wewe Yako kali sumu nyoka