Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Ave Maria
Nairobi County Choir
Popularity ยท Low
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Jina Maria, ni jina tukufu
Lafurahisha, linatutuliza
Malaika mbinguni wanaliimba
Usiku na mchana wanaliimba
Wakisema Ave ave Maria ni jina tukufu jina la Maria

Maria mama wa Mungu tuombee
Tuombee kwa mwanao Yesu Kristu
Tuombee kwa mwanao Yesu Kristu
Jina Maria, ni jina tukufu
Lafurahisha, linatutuliza
Malaika mbinguni wanaliimba, usiku na mchana wanaliimba
Wakisema Ave ave Maria ni jina tukufu jina la Maria
Wakisema Ave ave Maria ni jina tukufu jina la Maria
Jina lako siku zote lapendeza
Wewe uliye mnara wa Daudi

Wewe uliye malkia wa Mbinguni

Twaliimba jina lako siku zote
Jina Maria linatufurahisha

ย