Skip to content

Jambo Bwana

Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Jambo, Jambo bwana, Habari gani, Mzuri sana. Wageni, Wakaribishwa, Kenya yetu Hakuna Matata. Kenya nchi nzuri, Hakuna Matata. Nchi ya maajabu Hakuna Matata. Nchi yenye amani, Hakuna Matata. Hakuna Matata, Hakuna Matata. Watu wote, Hakuna Matata, Wakaribishwa, Hakuna Matata. Hakuna Matata, Hakuna Matata. (till end)