Skip to content

Walevi

AJAY, BURUKLYN BOYZ
Popularity ยท Low

YouTube

Searching YouTube...

Lyrics

Wote ni walevi 58 58 walevi Wote ni walevi 58 walevi Wote ni walevi 58 58 Ey ey ey Wote ni walevi 58 58 walevi Ati wote ni walevi Mr Right nikitema mi ni wavy Krypton leo jo ni wikendi Wakilalisha wakilalisha Tunamangana manangos Kanono kapoa, anaishi dago Anadai ati mpango wa kando Mabeste wake wote pia boss ni walevi Boss songa kando Mi huhang nao kama George of the jungle Uliza Ajay vile mi hufanya mambo Back to the school buda ka kitambo Na ka ni street rap tuwachie si uhandle Yoh 58 nigga mi hurepresent 254 buda mi ni citizen Citizen tuwache jo mihadarati Bars jo ni straight buda zimepigwa pasi Na hookie nigga nakata jo ka makasi No sarakasi so hii ni shrap classic man Mi hupiga wako whack wako down Yaani wako zigzag ati Mi huwachew chew kama kitkat, skiza Mi huincrease viewed buda sit back ati Mi ni baba usiulize winja New boy on the block Y C Wananiita Big shark na Mr Right wanadai nimefumble Niko so fresh and clean mi ni rapper Definitely mi huchill na mashrapper Each and every saturday kifaru na warasta Wote ni walevi 58 58 walevi Wote ni walevi 58 walevi Wote ni walevi 58 58 Ey ey ey Wote ni walevi 58 58 walevi Na zimefunga venye mi hutoa lock Peer pressure nilianza na kachok Siku hizi mi humada hadi naadia Crazy Coke na Chrome But still me huprefer mandom Niko maliqour sio mashisha Brand new style hii ni matisho Whine whine that as Bhakita Mr Paw paw nimekam na fambalicious Na Glen Rock ile pombe ya Remy No wonder naona hapa wanakuwaga wametudedi Broke ass niggas why you hating Mavo weka Konyagi hao manigga wako bitter Alcoblow ingekuwa exam ningepita Friday we si unajua ni kutingika Huna cash shore mpesa Fuliza Kanono kapoa kamejipa ajibika Wote ni walevi 58 58 walevi Wote ni walevi 58 walevi Wote ni walevi 58 58 Ey ey ey Wote ni walevi 58 58 walevi Eeey eey ni walevi Eeey eey ni walevi Eeey eey 58 aaiii