Skip to content

INAKUBALIKA

Popularity ยท Low

Listen

YouTube

0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced

Lyrics

Niache Nyash ipite boss kwani mi ni nugu? Sikosi nguvu baby girl mi hukula njugu Bad to the bone lazima nikunywe supu Shake dat ting hadi upigwe marufuku Kaende kaende, kifo cha mende Unaninyonya kama maembe na tembe Game bubu vitu zetu usiseme Wacha wabaki wakidhani kuna venye [Refrain: Israel Onyach] Peleka juu, peleka chini Usiogope kuโ€” rarua mini Ikishika sana, toa ulimi Zako zikipanda, cheza na mimi [Chorus: Richie] Maordinary tuko area Cheki vile doba imetubeba Tingisha kichwa toa ngepa Ule dem ako handas si amebeba Zitoke mkono na mabega Tetemeka ka una malaria Shingo kando ka umengโ€™ethia Jikune ni ka una bacteria Alafu pause... [Post-Chorus: Matata] Inakubalika, inakubalika, inakubalika Inakubalika, inakubalika, inakubalika [Verse 2: Freddy] Rating ni five star Ndani ya five star hotel kwetu ni Gaza Naroga ka Vybz Kartel niko na answer Uko na swali naeza tell bombastic side-eye (bombastic side-eye) Sijavuka border napiga ma-Ethiopia Ka ni 420 tupate tukichoma Pigia pedi akuje na keroma Hizi mamoshi zinatibu mpaka homa Madem wanapaka hena na ma-foundation Wanasema right now tuma location Wanajua si ndio huwanga na formation Mpesa confirmation leo celebration [Chorus: Richie] Maordinary tuko area Cheki vile doba imetubeba Tingisha kichwa toa ngepa Ule dem ako handas si amebeba Zitoke mkono na mabega Tetemeka ka una malaria Shingo kando ka umengโ€™ethia Jikune ni ka una bacteria Alafu pause... [Post-Chorus: Matata] Inakubalika, inakubalika, inakubalika Inakubalika, inakubalika, inakubalika [Verse 3: Fezzoh] Uko divine baby, sa mbona ukunywe Chrome Uko na body fine asalam, aleikum salaam Ka si ya brown ah, ah, kwangu kitu haram Geuka ka ghost nikishatumaga hizo salam Niko na time and doh za ku-waste kwa mahoe nikasha get bored Yo bam bam Itโ€™s like a ticking bomb when you tippinโ€™ toes yeah I want some more Yo bam bam Napiga proper toka morning mpaka jionโ€™ From the window to the wall, bedroom mpaka jikonโ€™ Vile anageukanga we utadhani yeโ€™ chameleon Kesi imeshageuka dria, my girl a hoe [Chorus: Richie] Maordinary tuko area Cheki vile doba imetubeba Tingisha kichwa toa ngepa Ule dem ako handas si amebeba Zitoke mkono na mabega Tetemeka ka una malaria Shingo kando ka umengโ€™ethia Jikune ni ka una bacteria Alafu pause... [Post-Chorus: Matata] Inakubalika, inakubalika, inakubalika Inakubalika, inakubalika, inakubalika