Skip to content
Lyric
Dive
Public playlists
My playlists
Search
Sign in
Kuliko Jana - Acapella version
Sauti Sol
,
Redfourth Chorus
Popularity ยท Moderate
+
๐ฐ๐ช Swahili ยท Original
0
0
Listen
YouTube
1
2
3
0:00 / 0:00
Loading YouTube player...
Lyrics offset
Synced
Lyrics
Original
Translation
Bilingual
Parara parara (parumpaparum)
Parara parara (parararara)
Parara parara (pararararara)
Para
Parara parara (parara)
Parara parara (parararara)
Parara parara (pararararara)
Para
Bwana ni mwokozi wangu
Tena ni kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi
Si kama binadamu habadiliki eh
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende
Leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende
Leo kuliko jana
Si nakuomba Mungu, uwasamehe
Wangalijua jinsi unavyonipenda mimi wasingenisema
Na maadui wangu, ninawaombea
Maisha marefu wazidi kukuona ukinibariki
Ujue binadamu, ni watu wa ajabu sana
Walimkana yesu mara tatu kabla jogoo kuwika
Ujue binadamu, ni watu wa ajabu sana
Walimsulubisha Yesu masiah bila kusita
Bwana ni mwokozi wangu
Tena ni kiongozi wangu
Ananipenda leo kuliko jana
Baraka zake hazikwishi
Si kama binadamu habadiliki
Ananipenda leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende
Leo kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende
Leo kuliko jana
Wewe ndio natengemea
Kufa kupona baba nakutengemea (amen)
Chochote kitanikatsia
Kuingia mbinguni utaniondolea (u u yeah)
Wewe ndio natengemea
Kufa kupona baba nakutengemea (amen oh)
Chochote kitanikatsia
Kuingia mbinguni utaniondolea (eh wewe ndio natengemea)
Wewe ndio natengemea
Kufa kupona baba nakutegemea (eh, bwana)
Chochote kitanikatsia
Kuingia mbinguni utaniondolea (eh, maisha yangu yote)
Wewe ndio nategemea (kwa nguvu zangu zote)
Kufa kupona baba nakutegemea (nakutegemea)
Chochote kitanikatsia
Kuingia mbinguni utaniondolea (oh-oh-oh-oh)
Bwana ni mwokozi wangu (Amen)
Tena ni kiongozi wangu (Amen)
Ananipenda leo kuliko jana (Amen)
Baraka zake hazikwishi (Amen)
Si kama binadamu habadiliki (Amen)
Ananipenda, leo kuliko jana (Amen)
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende
Leo mimi kuliko jana
Kuliko jana
Kuliko jana
Yesu nipende
Leo mimi kuliko jana
Wewe ndio natengemea (Amen)
Kufa kupona baba nakutengemea (Amen)
Chochote kitanikatsia (Amen)
Kuingia mbinguni utaniondolea (Amen)
Wewe ndio natengemea (Amen)
Kufa kupona baba nakutengemea (Amen)
Chochote kitanikatsia (Amen)
Kuingia mbinguni utaniondolea (Amen)
Bwana ni mwokozi wangu (Amen)
Tena ni kiongozi wangu (Amen)
Ananipenda leo kuliko jana (Amen)
Baraka zake hazikwishi (Amen)
Si kama binadamu habadiliki (Amen)
Ananipenda, leo kuliko jana (Amen)
ย